KARIBU SANA MTEJA WETU
Video shoot + Live Streaming
Katika kifurushi chochote atakachochagua mteja wetu, kama atahitaji huduma ya kurushiwa shughuli yake Live kwenye Youtube akaunti yake, ataongeza laki tano kwenye kifurushi chake. Mfano akichukua kifurushi cha milioni moja, ataongeza laki tano jumla iwe milioni moja na laki tano.
TSh 500,000.00
Photo shoots
Hizi ni picha za kwenye shughuli mbalimbali kama harusi, send off, kipaimara, na aina nyingi za sherehe. Utapata huduma ya picha kwa Tsh 1,000 kila picha. Idadi ya picha ianzie picha 50 na kuendelea. Na kama ni nje ya mkoa wa Dar es salaam, idadi ya picha iwe ni picha 150 na kuendelea.
TSh 1,000.00
TSh 1,500.00
OUR YOUTUBE CHANNEL
Tiktok
WhatsApp group