Video shot (Tembo Park)

Video shot (Tembo Park)

Katika kifurushi hiki utapata video na picha kabla ya tukio( pre-wedding), picha 20 zilizo editiwa vizuri, 3 sreen ukumbini, 120 hard coppy zikiwa kwenye albam nzuri, 32 GB flash Disk, Picha 2 za mbao. Utajipatia kifurushi hiki kwa Tsh milioni moja badala ya milioni moja na laki moja.
TSh 1,000,000.00

TSh 1,100,000.00