Live Streaming Services
Live Streaming Services
Live Streaming Services

Live Streaming Services

Huduma hii ni kwa ajili ya kurusha matukio ya video na sauti moja kwa moja, kupitia mitandao ya kijamii kama facebook, tiktok na Youtube. Pia tunarusha matangazo ya Dini kama matamasha na ibada kwenye Tv ya Joy Gospel tv.
Huduma za kurusha ibada na matamasha ni 500,000/= kwa lisaa limoja. Na kurusha matukio kama send off, harusi, n.k kwenye mitandao ya kijamii ni 100,000/= kila baada ya saa moja.
TSh 1,000,000.00

TSh 1,100,000.00