Video shoot (Twiga Park)

Video shoot (Twiga Park)

Katika kifurushi hiki utajipatia picha na video kabla ya tukio (pre-wedding), sreen mbili za ukumbini, picha 15 zilizo editiwa vizuri, 32GB flash Disc, 120 photo in Album, 1 A3 picha, na picha 2 za mbao. Kifurushi hiki utakipata kwa Tsh laki nane tu.
TSh 800,000.00