Hapa utajipatia Pre-wedding photos na video, Usafiri (Costa), picha 120 zikiwa kwenye flame nzuri, screen nne ukumbini, Drone, Flash Disc GB 32 na picha za mbao 2, bila kusahau A3 picha mbili. Ofa hii utaipata kwa Tsh milioni mbili badala ya Milioni mbili na laki mbili.