napenda nutrition products
+255767264265
COLON CLEANSER
Colon Cleanser ni kisafisha mwili na kiondoa sumu. Ina viambata: Cassia seeds, Mulberry, Howthorn, Green tea. - inafanya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula ufanye kazi yake vizuri - inawezesha upatikanaji choo mzuri na kutatua tatizo la kukosa choo - inasaidia kupunguza uzito - inaupa mwili nguvu - inapunguza riski ya kupata Saratani ya utumbo mpana (Colon Cancer) - inaongeza uwezo wa mwili wa kufyonza madini na vitamini - inaongeza uwezo wa uzazi - inarekebisha kiwango cha alkali (alkaline) na tindikali (acid) kwenye damu.
TSh 65,000.00
TSh 30,000.00
BROKEN GANODERMA
Ni kiini cha Uyoga mwekundu ambao asili yake ni bara la Asia. Uyoga huu ni tofauti na aina zingine za Uyoga duniani sababu ya viambata, madini, vitamini, lishe, virutubisho, n.k - huongeza kinga ya mwili na kupandisha CD4 kwa haraka sana - huondoa sumu mwilini na kuponya kwa haraka vidonda visivyopona kwa wagonjwa wa kisukari n.k - inaimarisha kinga za mwili, hivyo huongeza nguvu mwilini - huondoa vimelea vya Saratani na uvimbe mwilini (anti inflammatory) - huongeza nguvu za kiume - huongeza uwezo wa mwili kutengeneza damu - ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu
TSh 65,000.00
/ 1 PCS
TSh 75,000.00
KUDING TEA
Chai hii ni kisafisha mwili. Inazuia na kuondoa magonjwa kupitia uwezo wake wa kutoa sumu mwilini (detoxification). Ina viambata: polyphenois, flavonoids, amino acids na essential oils. Chai hii huongeza kiwango kikubwa cha alkali (alkaline) kwenye damu na kupelekea kupungua kwa tindikali (acid) ni antioxidant. - inapunguza cholesterol (lehemu) kwenye damu, shinikizo la damu la juu, kiwango cha sukari kwenye damu. - inaondoa uvimbe (ni anti inflammatory) - inapandisha kinga za mwili - ni kinga ya Saratani - inatibu UTI na P.I.D sugu na uoni hafifu wa macho - inaboresha mzunguko wa damu mwilini - inatibu mafua na kikohozi - Inaondoa maumivu ya hedhi ( menstrual crump) - inanawirisha ngozi - inaongeza kuyeyushwa kwa chakula - Ina uwezo mkubwa wa kuondoa uzito wa ziada mwilini Angalizo: mwenye shinikizo la damu la kushuka asitumie kwa sababu inashusha shinikizo la damu.
TSh 65,000.00
TSh 80,000.00
GINKGO BILOBA
Ni kirutubisho kilichotengenezwa na majani ya Ginkgo. Ginkgo ni moja ya mimea ya zamani sana duniani. Mti huu una uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 1,000. - inaboresha mzunguko wa damu mwilini kwa kufungua mishipa ya damu na kufanya damu iwe nyepesi - ni kuondoa sumu (anti oxidant) - inaimarisha afya ya ubongo na kuimarisha kumbukumbu - inaimarisha afya ya macho - Ina kiwango kikubwa cha flavonoids, terpenoids na anti oxidant ( kiondoa sumu) ambavyo vinasaidia katika kulinda seli za mwili zisiharibiwe na “free radicals “ kwa njia hii kiondoa sumu hiki kinaaminika kupunguza riski ya kupata Kansa. - inaboresha afya ya uzazi kwa wanaume Angalizo: wafuatao waulize ushauri wa daktari kabla ya kutumia: - watoto, wajawazito na wanaonyonyesha, wagonjwa wa kisukari.
TSh 65,000.00
/ 1 QTY
TSh 70,000.00