KUDING TEA

KUDING TEA

Chai hii ni kisafisha mwili. Inazuia na kuondoa magonjwa kupitia uwezo wake wa kutoa sumu mwilini (detoxification).
Ina viambata: polyphenois, flavonoids, amino acids na essential oils.
Chai hii huongeza kiwango kikubwa cha alkali (alkaline) kwenye damu na kupelekea kupungua kwa tindikali (acid) ni antioxidant.
- inapunguza cholesterol (lehemu) kwenye damu, shinikizo la damu la juu, kiwango cha sukari kwenye damu.
- inaondoa uvimbe (ni anti inflammatory)
- inapandisha kinga za mwili
- ni kinga ya Saratani
- inatibu UTI na P.I.D sugu na uoni hafifu wa macho
- inaboresha mzunguko wa damu mwilini
- inatibu mafua na kikohozi
- Inaondoa maumivu ya hedhi ( menstrual crump)
- inanawirisha ngozi
- inaongeza kuyeyushwa kwa chakula
- Ina uwezo mkubwa wa kuondoa uzito wa ziada mwilini
Angalizo: mwenye shinikizo la damu la kushuka asitumie kwa sababu inashusha shinikizo la damu.
TSh 65,000.00

TSh 80,000.00