GINKGO BILOBA

GINKGO BILOBA

Ni kirutubisho kilichotengenezwa na majani ya Ginkgo. Ginkgo ni moja ya mimea ya zamani sana duniani. Mti huu una uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 1,000.
- inaboresha mzunguko wa damu mwilini kwa kufungua mishipa ya damu na kufanya damu iwe nyepesi
- ni kuondoa sumu (anti oxidant)
- inaimarisha afya ya ubongo na kuimarisha kumbukumbu
- inaimarisha afya ya macho
- Ina kiwango kikubwa cha flavonoids, terpenoids na anti oxidant ( kiondoa sumu) ambavyo vinasaidia katika kulinda seli za mwili zisiharibiwe na “free radicals “ kwa njia hii kiondoa sumu hiki kinaaminika kupunguza riski ya kupata Kansa.
- inaboresha afya ya uzazi kwa wanaume
Angalizo: wafuatao waulize ushauri wa daktari kabla ya kutumia: - watoto, wajawazito na wanaonyonyesha, wagonjwa wa kisukari.
TSh 65,000.00

TSh 70,000.00