Ni kiini cha Uyoga mwekundu ambao asili yake ni bara la Asia. Uyoga huu ni tofauti na aina zingine za Uyoga duniani sababu ya viambata, madini, vitamini, lishe, virutubisho, n.k
- huongeza kinga ya mwili na kupandisha CD4 kwa haraka sana
- huondoa sumu mwilini na kuponya kwa haraka vidonda visivyopona kwa wagonjwa wa kisukari n.k
- inaimarisha kinga za mwili, hivyo huongeza nguvu mwilini
- huondoa vimelea vya Saratani na uvimbe mwilini (anti inflammatory)
- huongeza nguvu za kiume
- huongeza uwezo wa mwili kutengeneza damu
- ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu