💼 Shosti Kit – Pedi 4 za Momma Bear za Dharura!
Iwe upo ofisini, barabarani au kwenye mihangaiko, tuko nawe. 🚨 Imetengenezwa kwa ajili ya surprise na emergencies kazini, wakati maziwa yanapoanza kujaa na kuvuja. 🚚 Tunakuletea ndani ya dakika 45 hadi saa 1 (Kinondoni, Mwenge, Posta) 💸 Kwa bei ya 2,000 TZS tu — bila stress, bila aibu! Shosti Kit = Uhuru, Faraja na Ulinzi Kwa Mamaanayenyonyesha. 💅🏽
TSh 2,000.00
Momma Bear Premium- 40pcs
Tunajua kunyonyesha ni safari ya upendo – lakini pia inaweza kuwa safari yenye changamoto. Ndiyo maana tumekuletea Momma Bear Premium katika boksi la vipande/pcs 40, mahsusi kwa matumizi ya kila siku nyumbani au kazini. Pedi zetu ni laini, zinazopumua, na zina uwezo mkubwa wa kufyonza, kuhifadhi maziwa, kuhakikisha wewe unaendelea na shughuli zako bila wasiwasi wa kuvuja au kuona doa kwenye nguo zako. Unapokuwa na boksi hili, unajua upo salama. Ni chaguo bora kwa mama ambaye anataka amani ya moyo kila siku.
TSh 20,000.00
Nursing Bra/ Sidiria za Kunyonyesha
TSh 20,000.00
Nursing Bra with Removable Pads
One-hand Access Nursing Clips “Unyonyeshaji Rahisi – Fungua kwa Mkono Mmoja Tu!” “Ni rahisi kutumia kwa mkono mmoja tu – fungua kifungo, inua juu na utoe, halafu shusha kikombe cha sidiria. Ukivaa sidiria ya kunyonyesha pamoja na blauzi ya kunyonyesha au blauzi pana, unyonyeshaji wa hadharani unakuwa mwepesi na wa faragha kabisa.”
TSh 20,000.00
WhatsApp group
Tiktok
Youtube