Momma Bear Premium- 40pcs
Momma Bear Premium- 40pcs
Momma Bear Premium- 40pcs

Momma Bear Premium- 40pcs

Tunajua kunyonyesha ni safari ya upendo โ€“ lakini pia inaweza kuwa safari yenye changamoto. Ndiyo maana tumekuletea Momma Bear Premium katika boksi la vipande/pcs 40, mahsusi kwa matumizi ya kila siku nyumbani au kazini.
Pedi zetu ni laini, zinazopumua, na zina uwezo mkubwa wa kufyonza, kuhifadhi maziwa, kuhakikisha wewe unaendelea na shughuli zako bila wasiwasi wa kuvuja au kuona doa kwenye nguo zako.
Unapokuwa na boksi hili, unajua upo salama. Ni chaguo bora kwa mama ambaye anataka amani ya moyo kila siku.
TShย 20,000.00