Iwe upo ofisini, barabarani au kwenye mihangaiko, tuko nawe.
π¨ Imetengenezwa kwa ajili ya surprise na emergencies kazini, wakati maziwa yanapoanza kujaa na kuvuja.
π Tunakuletea ndani ya dakika 45 hadi saa 1 (Kinondoni, Mwenge, Posta)
πΈ Kwa bei ya 2,000 TZS tu β bila stress, bila aibu!
Shosti Kit = Uhuru, Faraja na Ulinzi Kwa Mamaanayenyonyesha. π
π½