image

Esther's Secret Naturals

✨ Introducing Esther’s Secret Naturals! ✨

Say hello to a new era of natural hair care – born in Tanzania, inspired by the beauty of African women, and rooted in the story of Queen Esther from the Bible. 💫

We believe every strand has a story, and we’re here to help yours shine and grow. Our products are 100% natural, made with love, and crafted for growth, manageability, and confidence.

💚 No harsh chemicals
💚 Made with love
💚 Proudly made in Tanzania

Ultra-Moisture Leave-In Conditioner

📌 Ultra-Moisture Leave-In Conditioner 💧 Leave-In Conditioner yenye nguvu ya unyevu 💧 Hii hapa ni Ultra-Moisture Leave-In Conditioner — ni nzuri kwa kila aina ya nywele! ✔️ Inalainisha ✔️ Inalinda dhidi ya ukavu ✔️ Inasaidia nywele kukua kwa afya ✔️ Inafanya nywele inachambuka vizuri

TSh 15,000.00

Ultra-Moisture Leave-In Conditioner

Foaming Nourish Shampoo

🫧 Nadhifu, safi, yenye unyevu 🫧 Foaming Nourish Shampoo yetu husafisha nywele na ngozi ya kichwa kwa upole bila kukausha. Imetengenezwa kwa viambato vya asili — hakuna sulfates, hakuna silicones. Ni mwanzo wa nywele zenye afya. 🌿

TSh 20,000.00

Foaming Nourish Shampoo

Hair Growth Oil

Hair Growth Oil yetu ni tiba asilia ya nywele zako: 🌿 Inachochea ukuaji 🌿 Inaondoa mba 🌿 Inapunguza kuwasha ya ngozi ya kichwa Imejaa virutubisho asilia kwa afya ya nywele zako kutoka kwenye mizizi na herbs tofauti

TSh 15,000.00

Hair Growth Oil

Hair Growth Spray

🌱 Hair Growth Spray – Rafiki wa kila siku wa nywele zako. ✔️ Haina mafuta mazito ✔️ Huchochea ukuaji ✔️ Hulainisha ngozi ya kichwa and kuzipa nywele unyevu nyevu Ni nyepesi, safi na yenye harufu tamu ya asili. Nyunyiza, toka, pendeza!

TSh 10,000.00

Hair Growth Spray

Hair Nourish Butter

🧈 Hair Nourish Butter: hufunga unyevu, huongeza nguvu na kung'ara kwa nywele zako. Ni nzuri kwa twist-outs, braids au matumizi ya kila siku. Paka kiasi kidogo, shuhudia utofauti mkubwa. Jinsi ya kutumia: 🔹 Kwa unyevu wa kila siku: paka kiasi kidogo kwenye nywele zenye unyevunyevu au kavu 🔹 Kwa matibabu ya ngozi ya kichwa: masaji kwa upole 🔹 Kwa mitindo kama braids/twist: tumia kama sealer

TSh 15,000.00

Hair Nourish Butter

Deep Nourish Conditioner

Deep Nourish Conditioner - real moisture, real hair health 🌿🫧 Softens, repair, strengthens and restore your hair's natural shine and vitality. Made with natural ingredients to nourish, protect and promote healthy hair growth every day.

TSh 20,000.00

TSh 20,000.00

New
Deep Nourish Conditioner