image
Hair Nourish Butter
Hair Nourish Butter

Hair Nourish Butter

TSh 20,000.00

​🌱 Hair Nourish Butter – Siri ya unyevu na uimara wa nywele.
​✔️ Hufunga unyevu na kuimarisha afya ya nywele
✔️ Inalainisha, inang'arisha na kuzuia kukatika
✔️ Inachochea ukuaji na kurudisha uhai
​Matumizi: Paka kwenye nywele mbichi (zenye unyevu) baada ya kuosha. Paka, toka, pendeza!