SUPER GRO NI MKOMBOZI KWA MKULIMA Super gro ni kirutubisho cha asili kwenye mimea yote Ipo katika hali ya kimiminika Inapatikana kwenye ujazo wa
Lita moja Lita tano
Bidhaa hii imekuwa maarufu Sana hasa Afrika mashariki kwani imewasaidia wakulima wengi Sana kuongeza mazao na kupunguza GHARAMA za pembejeo hasa madawa na mbolea
Nzuri zaidi super gro IMEJIBU CHANGAMOTO zote za wakulima Kama vile
-MVUA HABA -MAZAO HAFIFU -WADUDU na MAGONJWA -UDONGO KUISHIWA RUTBA -GHARAMA ZA PEMBEJEO ZA KILIMO