Mbolea bora kwa kilimo chako.
Inatumika kwa shamba mpaka hekari 10.
Unachanganya na maji kwa kiwango cha
Cc/ml 1 ya super gro kwa 1Lita ya maji.
Unapulizia kila baada ya wiki 2 kwenye kipindi cha masika na kila baada ya wiki 1 kipindi cha kiangazi.
Muda mzuri wa kupurizia ni Asubuh mapema sana kabla ya Jua au Jioni baada ya jua kuzama.