HUDUMA ZINAZOPATIKANA
1. Duka la Mtandaoni – Nunua bidhaa mbalimbali kwa urahisi.
2. Beauty & Salon – Booking ya wasusi, vinyozi na huduma za urembo.
3. MC & Events – Kupata MC na huduma mbalimbali za matukio.
4. Booking ya Tiketi – Kutafuta na kuomba tiketi za usafiri.
5. Delivery & Courier – Usafirishaji wa bidhaa na vifurushi.
6. Matangazo ya Biashara – Wafanyabiashara kutangaza bidhaa na huduma zao.
7. Elimu & Tuition – Kupata walimu, masomo na huduma za kielimu.
8. Huduma za Nyumbani – Kupata mafundi na watoa huduma mbalimbali.
9. Business Services – Huduma za biashara kama poster, logo, branding na digital marketing.
10. Booking System – Mteja anaweza kuweka nafasi kwa huduma anayohitaji.
11. Chat & Contact – Mawasiliano ya moja kwa moja kati ya mteja na mtoa huduma.
12. Reviews & Ratings – Wateja kutoa maoni na tathmini ya HUDUMA.
Tafuta. Agiza. Book. Nunua.
9 Biashara kwa urahisi.