Nourishing Hand and Body lotion
TSh 34,900.00
Shower Gel
Shower gel yetu ya kipekee imetengenezwa na viungo asilia kutoka baharin ili kuipa ngozi yako afya na kuifanya iweze ku glow na ni shower gel pekee ambayo ni purely organic
TSh 34,200.00
Cleansing Milk
Cleansing Milk ni cleanser ambayo inafanya deep cleaning ya ngozi inafaa sana kwa mtu mwenye chunusi au rashes na chunusi za mgongoni inanyoosha ngozi ina ng’arisha ngozi na pia ina lainisha ngozi Matumizi ya cleanser yetu yanafaa sana ukitumia na balancing tonic yetu
TSh 110,700.00
Serum
Serum yetu imentengenezwa kwa viungo asilia na kuongezewa vitamin C ili kuilisha ngozi yako na virutubisho muhimu.Serum hii ni msingi kwa ngozi inayo glow na yenye nuru,inakinga uzee,inatibu chunusi,inalainisha na kung’arisha ngozi
TSh 182,200.00
Balancing Tonic
Balancing Tonic ni kiungo kilichotengeneza kwa ajili ya kubalance ph ya ngozi na pia kubalance uzalishaji wa mafuta kwenye ngozi hivyo inatatua tatizo la mtu mwenye changamoto ya mafuta mengi pia inapunguza matundu ya vinyoleo na kufanya ngozi ionekane smooth
TSh 84,700.00
Aloe Sunscreen
Mwanga wa jua unaiathiri ngozi sana na kwa kulitambua ilo ,Aloe Sunscreen ni sunscreen organic iliyotengenezwa na mimea na kufanya kazi ya kulinda ngozi yako dhidi ya jua kua rahisi na kufanya ngozi izidi ku glow
TSh 38,900.00
Nutriance facewash
1. Inakinga na kuondoa chunusi 2. Inatibu mba kwenye ngozi 3. Inasaidia kuondoa dead cells kwenye ngozi 4. Inapunguza mikunjo na makunyanzi kwenye ngozi 5. Inaboresha skin texture 6. Inasaidia kuweka uwiano wa rangi ya ngozi 7. Inaongeza unyevu kwenye ngozi hasa kwa watu wenye ngozi kavu 8. Inang’arisha ngozi
TSh 10,000.00
TSh 12,000.00