Cleansing Milk ni cleanser ambayo inafanya deep cleaning ya ngozi inafaa sana kwa mtu mwenye chunusi au rashes na chunusi za mgongoni inanyoosha ngozi ina ng’arisha ngozi na pia ina lainisha ngozi
Matumizi ya cleanser yetu yanafaa sana ukitumia na balancing tonic yetu