OUR WEBSITE
image

YG 300 PRO MIN PROJECTOR

WALE MNAOPENDA PROJECTORS PORTABLE NA ZA BEI NAFUU HII HAPA INAWAHUSU UKINUNUA Yg300 pro TUNAKUPA OFFER YA KITAMBAA CHAKE BURE HII NI YG300 PRO , ni ambayo imefanyiwa marekebisho kutoka kwa model ya yg300 🌟Kwanza resolution yake imeboreshwa 240 hadi 480*272, ambayo kwa projector ndogo ya nyumbani inafaa tu 🌟Ina project hadi inch 60 ☀️Hii min PROJECTOR itakusaidia kuangalia videos,movies ,mpira nk ☀️Utaitumia home au ukiwa picnic nk ☀️Unaweza kuiunganisha na simu yako, dekoda, Laptop, tv box,unaweza kuchomeka flash,memory card nk. ☀️Katika kipindi hiki cha kubana matumizi itakufaa sana wewe na familia yako. ☀️Huitaji kununua TV za gharama tena kwasasa ☀️Inatumika kwenye mazingira yenye mwanga hafifu ☀️Lamp life yake ni masaa 30,000; unaweza kuitumia zaidi ya miaka 7 OFFER PRICE :165,000 TU BADALA YA 220,000 UNAPATA IKIWA FULL BOXED Package Included: 1 * Projector 1 * Remote Control (NOT includes battery. ) 1 * Power Adapter (US/ EU) 1 * AV Cable 1 * User Manual

TSh 165,000.00

YG 300 PRO MIN PROJECTOR

S400 PROJECTOR

TSh 690,000.00

TS3 STAND PROJECTOR

TSh 450,000.00

S100 PROJECTOR

TSh 510,000.00

TS6 STAND PROJECTOR

TSh 450,000.00

S200 PROJECTOR

TSh 599,000.00

C66 RECHARGABLE PROJECTOR

TSh 599,000.00

TOP PRO PROJECTOR

TSh 670,000.00

P20 PRO SMART PROJECTOR

TSh 750,000.00

A10 SMART PROJECTOR

TSh 410,000.00

S300 PROJECTOR

TSh 650,000.00

C10 FHD PROJECTOR

TSh 1,400,000.00

C300A SMART HD PROJECTOR

TSh 320,000.00

LT2 SMART PROJECTOR

TSh 750,000.00

M10 PLUS SMART PROJECTOR

TSh 420,000.00