WALE MNAOPENDA PROJECTORS PORTABLE NA ZA BEI NAFUU HII HAPA INAWAHUSU
UKINUNUA Yg300 pro TUNAKUPA OFFER YA KITAMBAA CHAKE BURE
HII NI YG300 PRO , ni ambayo imefanyiwa marekebisho kutoka kwa model ya yg300
🌟Kwanza resolution yake imeboreshwa 240 hadi 480*272, ambayo kwa projector ndogo ya nyumbani inafaa tu
🌟Ina project hadi inch 60
☀️Hii min PROJECTOR itakusaidia kuangalia videos,movies ,mpira nk
☀️Utaitumia home au ukiwa picnic nk
☀️Unaweza kuiunganisha na simu yako, dekoda, Laptop, tv box,unaweza kuchomeka flash,memory card nk.
☀️Katika kipindi hiki cha kubana matumizi itakufaa sana wewe na familia yako.
☀️Huitaji kununua TV za gharama tena kwasasa
☀️Inatumika kwenye mazingira yenye mwanga hafifu
☀️Lamp life yake ni masaa 30,000; unaweza kuitumia zaidi ya miaka 7
OFFER PRICE :165,000 TU BADALA YA 220,000
UNAPATA IKIWA FULL BOXED
Package Included:
1 * Projector
1 * Remote Control (NOT includes battery. )
1 * Power Adapter (US/ EU)
1 * AV Cable
1 * User Manual