Kifaa ni laki mbili (200,000 tsh) na kifurushi cha kuanzia elfu sabini (70,000tsh) unlimited mwezi.
Pia unaweza pewa kifaa BUREE, utakuwa unalipa laki na kumi (110,000 tsh) tu ya kifurushi kila mwezi
Vifurushi vyake vyote (unlimited) MWEZI
70,000 tsh = 10mbps
110,000 tsh = 30Mbps
150,000 tsh = 50mbps
200,000 tsh = 100mbps