Watu Credit

Watu Credit

Wengi wenu mmekua mkiuiza, “Nikimaliza loan moja, mtanipea ingine?”

Jibu ni ndio. Yes we will!

Kamilisha mkopo yako in due time and become eligible for another.

Cha muhimu ni unajiendeleza kimaisha! Ama namna gani?

#Watu4Watu