Je, unahitaji bima ya afya kwa ajili yako, wazazi wako, mwenzi wako (mume au mke), watoto au hata kwa ajili ya watoto yatima/ ndugu/jamaa ?
Kupitia NHIF, unaweza kupata huduma bora za matibabu kwa gharama nafuu na uhakika wa afya bora.
📞 Wasiliana na watumishi wafuatao kutoka NHIF kwa maelezo zaidi:
1. Jamila Ally : 0716730190
2. Devotha Meena : 0717647067
3. Mohamed Jabu : 0774405336
4. Ridhia Makono : 0712725341
5. Raphael Magoha : 0713905554
6. Dr. Edwin Chitage : 0717233551
Usisubiri hadi matatizo ya kiafya yatokee – linda afya yako na za wapendwa wako mapema kabla ya kuugua!