Create your Take App
Kwa kutumia Simu
Jifunze Canva kwa Lugha ya Kiswahili
Katika darasa hili unakwenda kujifunza jinsi ya kuitumia simu yako ya mkononi kufanya Graphic Design, Tengeneza Poster kwaajili ya Instagram, Facebook, Reels, Promotion Videos n.k
TSh 45,000.00
TSh 75,000.00
Kwa kutumia Computer
Jifunze Adobe Photoshop kwa Lugha ya Kiswahili
Katika Darasa hili tutajifunza jinsi ya kutumia Program ya Adobe Photoshop, ku Edit Picha, Matangazo n.k Itajumuisha Concepts zote muhimu unazohitaji ili kuingia katika soko la ushindani kataka taaluma hii ya Graphic Design.
TSh 50,000.00
TSh 100,000.00