Utapata lip glosses, lip balms, lip oils na lipsticks!!! Tunascoop Alafu tunachagua randomly bila kurudia aina moja
Small Scoop - 4 products
Large Scoop - 7 products na Pochi ya Bure kuwekea products zako zote
❗️Hakuna kuchagua rangi wala products
Inafaa kwa zawadi na kujaribu products tofauti!!