• Huongeza kinga: Lina vitamini C nyingi ya kuzuia magonjwa.
• Huboresha usagaji chakula: Huzuia kufunga choo kutokana na nyuzinyuzi.
• Hulinda moyo: Husaidia kushusha na kudhibiti shinikizo la damu.
• Huimarisha ngozi: Hufanya ngozi iwe nyororo na yenye afya.
• Hulinda macho: Lina virutubisho vinavyoboresha uwezo wa kuona
SKU: 001