"Ifanye Kwaresima Yako Isiwe ya Mazoea! 🙏
Usikubali Kwaresima ya mwaka huu ipite bila matunda ya kiroho. Pata nakala yako ya IFANYE KWARESIMA YAKO ISIWE YA MAZOEA sasa.
✅ Aina: Digital Product (PDF).
✅ Mchango: TSh 5,000 tu.
✅ Lengo: Kukuza imani, sala, na nidhamu ya kiroho.
Bofya 'Order Now' hapa chini, kamilisha malipo WhatsApp au hapa hapa, na uanze safari yako ya kiroho leo!"