π D-Supreme
Virutubisho hivi vimebuniwa mahsusi ili kutoa Vitamin D3 ya kutosha pamoja na virutubisho vingine vinavyosaidia afya ya mifupa, kinga ya mwili, moyo na mishipa ya damu.
β
Faida Kuu za D-Supreme
1. Afya ya Mifupa na Maungio
-Huongeza ufyonzwaji wa Calcium na Phosphorus mwilini, hivyo kuimarisha mifupa na kuzuia udhaifu (osteoporosis).
-Hupunguza hatari ya maumivu ya viungo na maungio kutokana na upungufu wa Vitamin D.
2. Kinga ya Mwili
-Vitamin D3 inachochea uzalishaji wa seli za kinga na kupunguza maambukizi ya mara kwa mara.
-Husaidia mwili kupambana na virusi na bakteria wanaoathiri mapafu, koo, na mfumo wa upumuaji.
3. Afya ya Moyo na Mishipa ya Damu
-Hupunguza uvimbe kwenye mishipa ya damu na kusaidia udhibiti wa shinikizo la damu (BP).
-Hupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kuimarisha afya ya mishipa.
4. Nguvu na Uchovu
-Husaidia kuondoa dalili za uchovu, maumivu ya misuli, na udhaifu wa mwili unaosababishwa na upungufu wa Vitamin D.
-Huongeza nguvu na uimara wa mwili kila siku.
5. Afya ya Ubongo na Mood
-Vitamin D3 inahusiana moja kwa moja na utulivu wa akili, husaidia kupunguza msongo wa mawazo na huzuni.
-Inasaidia kumbukumbu na afya ya ubongo.
6. Afya ya Ngozi na Uzalishaji wa Homoni
-Inasaidia ngozi kuwa imara na yenye mwanga wa asili.
-Huweka sawa homoni zinazohusiana na uzazi na mzunguko wa hedhi.
π¦ Dozi na Gharama
-Mwezi 1 π Tsh 70,000/=
-Miezi 3 π Tsh 210,000/=
π Piga au WhatsApp +255 767 716 093 kupata sasa hivi.
πIli kupata matokeo bora, tumia kwa miezi 3 mfululizo bila kusita.