Angel E
Angel E
Angel E
Angel E
Angel E

Angel E

🌸 ANGEL E – Natural Balance for Women

Angel E ni virutubisho vya asili vilivyoundwa mahsusi kwa wanawake, kusaidia kusawazisha homoni, kuongeza uzazi, na kuboresha afya ya ngozi na damu.

βœ… Faida Kuu za Angel E
1. Kusawazisha Homoni
-Hurekebisha mzunguko wa hedhi usio sawa.
-Hupunguza dalili za PMS (maumivu ya tumbo, maumivu ya matiti, mabadiliko ya hisia).
-Husaidia wanawake wenye hormonal imbalance kuimarisha afya ya uzazi.

2. Kuongeza Afya ya Uzazi
-Huongeza uwezekano wa kupata ujauzito kwa kusawazisha homoni za uzazi.
-Huboresha afya ya mayai na uterasi.
-Hupunguza changamoto za ukavu ukeni na kuongeza hamu ya tendo la ndoa.

3. Kinga dhidi ya Kuzeeka Mapema
-Antioxidants zilizopo huzuia uharibifu wa seli unaosababishwa na radicals huru.
-Husaidia kuchelewesha dalili za menopause kama jasho jingi, hot flashes, na kukosa usingizi.

4. Afya ya Ngozi, Nywele na Kucha
-Huongeza mng’ao na unyevunyevu wa ngozi.
-Hupunguza makunyanzi, wekundu na ukavu wa ngozi.
-Huimarisha ukuaji wa nywele na kucha zenye nguvu.

5. Kujenga Kinga ya Mwili
-Huongeza ulinzi wa mwili dhidi ya maambukizi.
-Husaidia kupunguza uchovu na kuongeza nguvu mwilini.

πŸ“¦ Dozi na Matumizi
-Mwezi 1 πŸ‘‰ Tsh 150,000/=
-Miezi 3 πŸ‘‰ Tsh 450,000/=

πŸ“ž Piga au WhatsApp +255 767 716 093 kupata sasa hivi.

πŸ‘‰ Recomendation: Tumia miezi 3 mfululizo ili kusawazisha homoni ipasavyo, kurekebisha mzunguko wa hedhi, na kuboresha afya ya uzazi kwa matokeo ya kudumu.
TShΒ 127,500.00

TShΒ 180,000.00