π« MYCHOCO β Chokoleti ya Kiafya kwa Watoto na Watu Wazima
Mychoco ni chokoleti yenye virutubisho vya hali ya juu vilivyoboreshwa kwa kuongeza alkaline, DHA, spirulina, vitamins na minerals. Ni lishe bora inayoboresha ukuaji wa mwili, kinga, na afya ya akili ya mtoto na mtu mzima.
β
Faida Kuu za Mychoco
1. Kuongeza hamu ya kula
-Huchochea mfumo wa mmengβenyo kufanya kazi vizuri.
-Huwasaidia watoto wenye changamoto ya kukosa hamu ya kula kuanza kula vyema.
2. Kujenga Kinga ya Mwili
-Ina antioxidants nyingi na spirulina ambazo huimarisha mwili kupambana na magonjwa.
-Hupunguza hatari ya kuugua mara kwa mara.
3. Sickle Cell na Anemia (upungufu wa damu)
-Huongeza idadi na ubora wa chembe nyekundu za damu.
-Huimarisha upatikanaji wa oksijeni mwilini na kupunguza dalili za uchovu na kizunguzungu.
4. Magonjwa ya kuzaliwa nayo
-Mgongo wazi (spina bifida): Folate na virutubisho vya neva huimarisha ukuaji sahihi wa uti wa mgongo.
-Matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo: Huchangia kuboresha mzunguko wa damu na kazi ya moyo.
-Mifupa na Ngozi: Calcium, vitamin D na antioxidants huimarisha mifupa, kuzuia kudhoofu, na kulinda ngozi.
5. Afya ya Ubongo na Macho
-DHA huongeza uwezo wa kumbukumbu, akili na umakini kwa watoto na vijana shuleni.
-Vitamini A na antioxidants huimarisha macho, kupunguza uwezekano wa matatizo ya kuona.
6. Saratani ya damu na magonjwa mengine sugu
-Antioxidants na spirulina huondoa sumu mwilini, kupunguza ukuaji wa seli hatari.
-Hupunguza madhara ya upungufu wa damu na kulinda seli mpya zinazotengenezwa.
7. Kasi ya ukuaji na maendeleo ya mtoto
-Husaidia watoto kukua kwa kasi sahihi, kuwa na nguvu, akili timamu na mwonekano bora wa ngozi.
-Huongeza nguvu za mwili na kuimarisha usingizi wa mtoto.
8. Kifafa na Degedege (Seizures/Epilepsy)
-DHA huimarisha afya ya ubongo na mishipa ya fahamu, kupunguza msisimko kupita kiasi wa seli za ubongo.
-Magnesium na B-vitamins husaidia kutuliza mishipa, kupunguza hatari ya degedege kurudi mara kwa mara.
-Antioxidants hulinda seli za ubongo dhidi ya uharibifu.
9. Pumu (Asthma)
-Spirulina na antioxidants hupunguza uvimbe kwenye njia za hewa.
-Huimarisha kinga ya mwili kupambana na mzio unaochochea pumu.
-Hupunguza muwasho na kuboresha uwezo wa kupumua.
10. Ngiri (Hernia)
-Mychoco haitibu ngiri moja kwa moja, kwa sababu ngiri mara nyingi huhitaji upasuaji.
-Hata hivyo, kwa virutubisho vyake:
-Huimarisha kinga ya mwili na kasi ya kupona baada ya upasuaji.
-Huongeza nguvu za misuli na tishu ili kupunguza maumivu ya mara kwa mara.
-Hupunguza udhaifu wa mwili kwa ujumla, na kusaidia mtoto au mtu mzima kupata lishe bora wakati wa matibabu.
11. Kuimarisha mishipa ya fahamu na ubongo
-Mychoco ina DHA na B-vitamins ambazo husaidia ubongo kutuma ishara kwa haraka zaidi, kumfanya mtoto aamke usiku akihitaji kukojoa.
-Kusaidia afya ya kibofu cha mkojo
-Virutubisho ndani ya Mychoco huimarisha misuli ya kibofu na kusaidia kudhibiti mkojo usiku.
-Kupunguza msongo na uchovu
-Watoto wanaokojoa kitandani mara nyingi hupata aibu na msongo. Mychoco huongeza nguvu za mwili na akili, na kumfanya mtoto kuwa na usingizi bora bila msongo mkubwa.
12. Kuongeza kinga na ukuaji
Kinga imara huondoa maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) ambayo mara nyingine husababisha mtoto kukojoa kitandani mara kwa mara.
Huongeza hamu ya kula na ukuaji mzuri wa mifupa na misuli.
π¦ Dozi na Gharama
-Siku 10 π Tsh 70,000/=
-Mwezi 1 π Tsh 210,000/=
-Miezi 3 π Tsh 630,000/=
π Inashauriwa kutumia miezi 3 mfululizo kwa matokeo bora.
π Piga au WhatsApp: +255 767 716 093