Jiunge na Channel yetu Whatsapp
image

Choleduz Omega Supreme

TShย 95,000.00

TShย 140,000.00

๐ŸŒฟ Choleduz Omega Supreme
โœ… Faida Kuu za Choleduz Omega Supreme

Afya ya Moyo na Mishipa ya Damu
-Inapunguza kiwango cha cholesterol mbaya (LDL) na triglycerides.
-Inalinda mishipa dhidi ya kuziba (atherosclerosis), hivyo kupunguza hatari ya shinikizo la damu na mshtuko wa moyo.

Afya ya Ubongo na Akili
-Omega-3 (DHA & EPA) husaidia kumbukumbu, umakini na uwezo wa kujifunza.
-Hupunguza hatari ya Alzheimerโ€™s, Parkinsonโ€™s na magonjwa ya kusahau (dementia).

Kupunguza Uvimbe Mwili Mzima
-Ni anti-inflammatory asili, hupunguza maumivu ya viungo, arthritis, baridi yabisi na matatizo ya maungio.
-Husaidia pia kwa magonjwa ya ngozi kama psoriasis na eczema.

Afya ya Macho
-DHA ni sehemu kubwa ya retina, hivyo husaidia kupunguza hatari ya macho kufifia (macular degeneration) na ukavu wa macho.

Kinga Dhidi ya Saratani na Magonjwa Sugu
-Hupunguza uzalishaji wa seli zisizo na mpangilio (free radicals).
-Husaidia kupunguza hatari ya kansa na magonjwa sugu kama kisukari na ini.

Afya ya Mapafu na Kupumua
-Hupunguza uvimbe kwenye njia za hewa kwa wagonjwa wa pumu na COPD.
-Husaidia kupunguza makovu ya mapafu na kuboresha upumuaji.

Afya ya Uzazi
-Kwa wanawake, inasaidia kusawazisha homoni na kuboresha afya ya mayai.
-Kwa wanaume, huboresha ubora na uhai wa mbegu za kiume.

Ngozi, Nywele na Mifupa
-Omega-3 huimarisha ngozi dhidi ya ukavu na kuzeeka mapema.
-Inaboresha ukuaji wa nywele na afya ya mifupa.

๐Ÿ“ฆ Dozi na Bei
-Siku 15 ๐Ÿ‘‰ Tsh 95,000/=
-Mwezi 1 ๐Ÿ‘‰ Tsh 190,000/=
-Miezi 3 ๐Ÿ‘‰ Tsh 570,000/=

๐Ÿ“ž Piga au WhatsApp +255 767 716 093 kupata sasa hivi.

๐Ÿ‘‰ Rekebisho: Inashauriwa itumike miezi 3 mfululizo kwa matokeo bora na ya kudumu.