Gastric Package (ULCER & DIGESTIVE RELIEF PACK)

Gastric Package (ULCER & DIGESTIVE RELIEF PACK)

ULCER & DIGESTIVE RELIEF PACK

(Complete Phytoenergizer + Colon Detox + Liven Alkaline Coffee)

🌿 Faida za Complete Phytoenergizer

Kutibu Vidonda vya Tumbo (Ulcers) – Hupunguza asidi nyingi tumboni, kulinda ukuta wa tumbo na kuponya vidonda.

Kuzuia H. Pylori – Ina antioxidants na virutubisho zaidi ya 16,000 vinavyosaidia kupambana na bakteria wanaosababisha vidonda.

Kupunguza Gesi na Maumivu ya Tumbo – Hubalance mfumo wa mmeng’enyo na kupunguza kujaa tumboni.

Kuimarisha Kinga – Huongeza uwezo wa mwili kupambana na maambukizi yanayorudia kwenye tumbo na mfumo wa uzazi.

Afya ya Uzazi – Huimarisha homoni na kinga ya via vya uzazi ambavyo huathirika na maambukizi ya muda mrefu ya tumbo.

🌿 Faida za Colon Detox

Kusafisha Utumbo Mpana – Huondoa taka, gesi na sumu zilizokwama kwenye njia ya chakula.

Kupunguza Choo Kigumu na Kuvimbiwa – Huongeza nyuzi (fiber) na maji tumboni, hivyo kurahisisha haja kubwa.

Kupunguza Shinikizo kwa Vidonda – Kwa kusafisha mfumo wa chakula, hupunguza msongamano wa gesi unaoongeza maumivu ya vidonda.

Kuzuia Saratani ya Utumbo – Hufanya njia ya chakula ibaki safi na yenye afya.

Afya ya Uzazi – Hupunguza maambukizi ya mara kwa mara (UTI, PID) yanayosababishwa na taka kukaa tumboni muda mrefu.

☕ Faida za Liven Alkaline Coffee

Hupunguza Asidi Tumboni – Kwa kuwa alkaline, husaidia kupunguza ukali wa tindikali unaosababisha vidonda na gesi.

Kuondoa Uchovu na Maumivu – Hutoa nguvu ya mwili bila kuongeza asidi.

Kurekebisha Mmeng’enyo – Hufanya chakula kisagike vizuri na kupunguza kujaa hewa tumboni.

Kupunguza Msongo wa Mawazo – Stress nyingi huongeza matatizo ya vidonda; kahawa hii hutoa utulivu na kubalance homoni.

Afya ya Uzazi – Husaidia kuongeza mzunguko wa damu na kuimarisha ubora wa homoni, hivyo kusaidia wanawake na wanaume kwenye afya ya uzazi.

🌟 Faida za Pamoja (Pack hii)

-Kutibu vidonda vya tumbo, gesi, na H. pylori.
-Kupunguza choo kigumu, kuvimbiwa na tumbo kujaa hewa.
-Kusafisha na kulinda mfumo wa mmeng’enyo.
-Kuimarisha kinga ya mwili na homoni kwa afya ya uzazi.
-Kuzuia magonjwa makubwa ya tumbo na utumbo (cancer, maambukizi sugu).

💰 Dozi na Bei

-Dozi ya Mwezi 1: Tsh 255,000/=
-Dozi ya Miezi 3: Tsh 965,000/=

📞 Piga au WhatsApp: +255 767 716 093 kupata sasa hivi.
TSh 216,750.00

TSh 2,900,000.00