Jiunge na Channel yetu Whatsapp
image

Hemorrhoid Relif Pack

TSh 180,000.00

TSh 230,000.00

HEMORRHOID RELIEF PACK (Bawasiri na Mfumo wa Chakula)

(Kombinasheni ya Colon Detox na Complete Phytoenergizer)

Faida za Colon Detox

Kusafisha Utumbo Mpana – Husaidia kuondoa sumu, taka na uchafu uliokwama tumboni kwa muda mrefu.

Kupunguza Kinya na Choo Kigumu – Huongeza nyuzi na maji tumboni, hivyo kupunguza choo kigumu na maumivu wakati wa kujisaidia.

Kutibu Hemorrhoids (Bawasiri) – Kwa kusafisha na kulainisha njia ya haja kubwa, hupunguza shinikizo na kuvimba kwa mishipa.

Kupunguza Gesi na Kuvimba Tumbo – Hurekebisha mfumo wa chakula na kuondoa hewa iliyokwama.

Kuzuia Saratani ya Utumbo – Hufanya colon iwe safi na kupunguza hatari ya saratani kutokana na taka kukaa muda mrefu.

Kuimarisha Afya ya Figo na Ini – Kwa kuondoa sumu mwilini, hupunguza mzigo mkubwa kwa ini na figo.

Faida za Complete Phytoenergizer

Kujenga Kinga ya Mwili – Ina antioxidants zaidi ya 16,000 zinazosaidia mwili kupambana na uvimbe na maambukizi.

Kurekebisha Damu na Mishipa – Huongeza mzunguko mzuri wa damu na kuimarisha mishipa iliyoathirika kutokana na bawasiri.

Kupunguza Maumivu na Kuvimba – Husaidia kupunguza maumivu ya bawasiri na uvimbe unaosababishwa na pressure kubwa kwenye mishipa ya njia ya haja kubwa.

Afya ya Ngozi na Mfumo wa Chakula – Huboresha mmeng’enyo wa chakula na kufanya ngozi iwe safi kutokana na mwili kusafishwa vizuri.

Nguvu na Uhai wa Mwili – Hutoa nguvu, hupunguza uchovu na kurejesha hamu ya kula kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na maumivu ya muda mrefu.

Faida za Pamoja (Hemorrhoid Relief Pack)
-Hupunguza maumivu na kuvimba kwa bawasiri.
-Husaidia kusafisha tumbo na kurahisisha haja kubwa.
-Huimarisha mzunguko wa damu ili mishipa iliyovimba ipone haraka.
-Hupunguza kurudiwa kwa bawasiri baada ya matibabu.
-Hutoa kinga ya kudumu kwa utumbo, ini na figo.

Dozi na Bei

-Dozi ya Mwezi 1: Tsh 180,000/=
-Dozi ya Miezi 3: Tsh 540,000/=

📞 Piga au WhatsApp: +255 767 716 093 kupata leo.