Figo Safe Pack- Mawe kwenye Figo (Kidney Stones)

Figo Safe Pack- Mawe kwenye Figo (Kidney Stones)

⚡ FAIDA ZA FIGO SAFE PACK KATIKA KUTIBU MAWE KWENYE FIGO (KIDNEY STONES) 🌿🩺

Figo Safe Pack imeundwa kwa mchanganyiko wa virutubisho na mimea asilia vinavyosaidia kusafisha figo, kulinda mishipa yake, na kuvunja mawe bila madhara.

1️⃣ Kuvunja mawe madogo kwenye figo

Husaidia kuyeyusha na kuvunja mawe ili yaweze kutoka taratibu kupitia mkojo bila maumivu makali.

2️⃣ Kupunguza maumivu ya mgongo na kiuno

Huondoa presha na maumivu makali yanayotokana na mawe kusogea kwenye njia ya mkojo.

3️⃣ Kuzuia kuongezeka kwa ukubwa wa mawe

Inazuia chumvi na madini kuendelea kujikusanya na kuongeza ukubwa wa mawe mapya.

4️⃣ Kusafisha njia ya mkojo (Urinary Tract)

Huondoa sumu na bakteria, hivyo kuzuia UTI inayosababisha matatizo zaidi kwenye figo.

5️⃣ Kuweka figo ziwe safi na zenye nguvu

Husaidia figo kufanya kazi ya kuchuja damu vizuri na kuondoa taka mwilini.

6️⃣ Kupunguza hatari ya damu kwenye mkojo

Kwa kuyeyusha mawe, hupunguza majeraha kwenye njia ya mkojo ambayo husababisha damu kujitokeza.

7️⃣ Kudhibiti shinikizo la damu linalosababishwa na mawe ya figo

Mawe kwenye figo mara nyingi husababisha presha kupanda; Figo Safe Pack huirekebisha.

8️⃣ Kuongeza kiwango cha mkojo (diuretic effect)

Huongeza utolewaji wa maji mwilini, kusaidia kusukuma chembechembe za mawe nje kwa urahisi.

9️⃣ Kuboresha kinga ya mwili

Huzuia maambukizi ya mara kwa mara kwenye figo na kibofu.

🔟 Kuzuia kujirudia kwa mawe baada ya matibabu

Kwa kusawazisha madini na chumvi mwilini, huzuia mawe mapya kuunda tena.

Tumia Kwa miezi 3 mfululizo kwa matokeo mazuri sana

Bei za FIGO SAFE PACK:

-Kwa mwezi: TSH 265,000
-Kwa miezi 3 mfululizo: TSH 795,000

Pata Package yako kwa namba: +255767 716 093
TSh 225,250.00

TSh 320,000.00