Hair, Skin+Nails: Dozi ya siku 15
Hair, Skin+Nails: Dozi ya siku 15
Hair, Skin+Nails: Dozi ya siku 15
Hair, Skin+Nails: Dozi ya siku 15

Hair, Skin+Nails: Dozi ya siku 15

๐ŸŒฟ Namna Hair, Skin + Nails Inavyotibu na Kurekebisha Ngozi
1. Melasma na Madoa Meusi

Ina vitamini C, E na Zinc vinavyoongeza uzalishaji wa collagen na kupunguza hyperpigmentation.

Husaidia kuondoa sumu (detox) kwenye ini na damu, chanzo kikuu cha melasma.

Inapunguza uvimbe wa ndani ya ngozi unaosababisha kubaki kwa madoa meusi.

2. Chunusi (Acne)

Ina biotin, selenium na antioxidants zinazodhibiti mafuta kupita kiasi (sebum) kwenye ngozi.

Huua vimelea na bakteria wanaosababisha chunusi.

Hupunguza makovu ya baada ya chunusi kwa kuharakisha ukarabati wa seli.

3. Weusi na Usoni Kukakamaa

Hair, Skin + Nails huboresha mzunguko wa damu, hivyo ngozi hupata virutubisho vizuri zaidi.

Vitamini B complex na iron hurejesha rangi asili ya ngozi na kupunguza weusi wa macho, kwapa, mapaja na sehemu nyeti.

4. Wekundu wa Ngozi na Vipele

Ina virutubisho vinavyopunguza allergic reactions na kuimarisha kinga ya ngozi.

Hupunguza uchochezi wa ngozi (inflammation) unaosababisha wekundu na vipele.

5. Michirizi (Stretch Marks)

Collagen na biotin huboresha elasticity ya ngozi, hivyo michirizi hupungua hatua kwa hatua.

Husaidia akina mama waliyojifungua au waliopungua/ongezeka uzito ghafla.

6. Ukavu wa Ngozi

Inasaidia kuhifadhi maji na mafuta asilia kwenye ngozi.

Vitamin E na Omega nutrients hufanya ngozi kuwa laini, nyororo na yenye kungโ€™aa.

7. Ngozi Kuzeeka (Anti-Aging)

Hair, Skin + Nails huongeza uzalishaji wa collagen na elastin.

Hupunguza mikunjo, mistari midogo, ngozi kushuka (sagging) na kuifanya ionekane kijana.

8. Maambukizi ya Ngozi

Zinki na Selenium huboresha kinga ya ngozi dhidi ya fangasi, bakteria na virusi.

Inazuia kurudia kwa fungal infections, eczema na vipele vya mara kwa mara.

9. Pumu ya Ngozi (Eczema)

Huondoa uvimbe wa ndani ya ngozi na kurejesha unyevu.

Hupunguza muwasho, wekundu na michubuko ya ngozi.

10. Makovu

Inaharakisha ukarabati wa tishu kwa kusaidia kuzalishwa kwa collagen mpya.

Makovu ya jeraha, upasuaji au chunusi hupungua na kuwa laini.

11. Visunzua (Skin Irritations)

Inapunguza sumu mwilini na kuimarisha kinga ya ngozi.

Hupunguza visunzua na muwasho unaotokana na mzio au magonjwa sugu ya ngozi.

12. Magonjwa Mengine ya Ngozi

Husaidia psoriasis, fungal infections, vitiligo, ngozi kupasuka na hata ngozi yenye mafuta kupita kiasi.

Hurekebisha usawa wa homoni ambao mara nyingi ni chanzo cha magonjwa ya ngozi.

๐Ÿ”‘ Kwa Nini Hair, Skin + Nails Ina Matokeo Makubwa?

Inafanya kazi ndani nje: kutoka kwenye damu, ini, homoni hadi kwenye ngozi.

Inaunda ngozi mpya yenye afya badala ya kupaka juu pekee.

Ni tiba ya kudumu kwa sababu inakomesha chanzo cha tatizo, sio dalili tu.

๐Ÿ‘‰ Bei za Dozi ya mwezi wa Hair, Skin + Nails ni

-Siku 15 Tsh 95,000/=
-Mwezi 1 Tsh 190,000/=
-Miezi 3 sh 570,000/=

Kwa matokeo ya haraka (melasma, chunusi sugu, wekundu, ukavu, michirizi) tunashauri mwezi 3 mfululizo. Piga au Whatsapp +255767716093
TShย 95,000.00

TShย 140,000.00