Dozi ya Kutibu Matatizo ya Hedhi; Dozi ya siku 15
Dozi ya Kutibu Matatizo ya Hedhi; Dozi ya siku 15
Popular
New

Dozi ya Kutibu Matatizo ya Hedhi; Dozi ya siku 15

Faida za CPE Natura-Ceutical kwenye Matatizo ya Hedhi

-Kusawazisha homoni za uzazi – kurejesha mpangilio wa mzunguko wa hedhi.

-Kupunguza maumivu makali ya hedhi (dysmenorrhea) – kutokana na uwezo wake wa anti-inflammatory.

-Kurejesha mpangilio wa siku za hedhi – kuondoa kuchelewa au kurudia mara nyingi kwa mwezi.

-Kupunguza hedhi nzito kupita kiasi – kwa kudhibiti uzalishaji wa homoni na kuimarisha uterasi.

-Kusaidia wanawake wanaokosa hedhi (amenorrhea) – kurekebisha mayai kushindwa kupevuka.

-Kuimarisha afya ya kizazi – kuondoa sumu na kuboresha mtiririko wa damu safi.

-Kupunguza uvimbe ndani ya kizazi – unaosababisha hedhi chungu na damu nyingi.

-Kuboresha kinga ya mwili – kuzuia maambukizi ya mara kwa mara yanayosababisha matatizo ya hedhi.

-Kuongeza uwezo wa mayai kupevuka vizuri – jambo linalosaidia pia kuongeza nafasi ya kupata ujauzito.

-Kupunguza msongo wa mawazo na uchovu – ambavyo mara nyingi huongeza matatizo ya hedhi.

-Kwa wanawake wenye changamoto za hedhi zisizoeleweka, hedhi chungu, damu nyingi au ndogo, na kukosa hedhi kabisa, tunashauri kutumia:

CPE Natura-Ceutical (Complete Phytoenergizer)

Bidhaa hii husaidia kusawazisha homoni, kuimarisha afya ya kizazi na kupunguza maumivu ya kila mwezi.

Bei za Dozi
-Siku 15: Tsh 85,000/=
-Mwezi 1: Tsh 170,000/=
-Miezi 3: Tsh 510,000/=

👉 Inashauriwa kutumia kwa miezi 3 mfululizo bila kusitisha kwa matokeo ya kudumu.

✅ Ushauri: Wakati unatumia CPE, zingatia pia lishe yenye mboga za kijani, matunda, nafaka zisizokobolewa, samaki na protini safi. Epuka vyakula vya kukaanga, sukari nyingi, na nyama nyekundu nyingi kwani vinaongeza maumivu na vurugu za homoni. Kuanza Dozi, Piga au Whatsapp +255767716093
TSh 85,000.00