Dozi ya Kutibu PCOS (Polycystic Ovarian Syndrome); Dozi ya Siku 15
Dozi ya Kutibu PCOS (Polycystic Ovarian Syndrome); Dozi ya Siku 15
Dozi ya Kutibu PCOS (Polycystic Ovarian Syndrome); Dozi ya Siku 15

Dozi ya Kutibu PCOS (Polycystic Ovarian Syndrome); Dozi ya Siku 15

Faida za CPE na Choleduz Omega Supreme kwenye PCOS

-Kusawazisha homoni za kike – kupunguza testosterone kupita kiasi na kurekebisha estrogen/progesterone.

-Kurejesha hedhi za kawaida – kuondoa kuchelewa au kukosa hedhi.

-Kusaidia upevushaji wa mayai (ovulation) – kuongeza nafasi ya kupata ujauzito.

-Kupunguza ukubwa na idadi ya cysts kwenye ovari – kutokana na nguvu za antioxidants na anti-inflammatory.

-Kupunguza uzito na mafuta mabaya mwilini – moja ya changamoto kubwa kwa wanawake wenye PCOS.

-Kuboresha kinga ya mwili – kuzuia uvimbe na magonjwa ya mfumo wa uzazi.

-Kusaidia ini kuvunja homoni vizuri – kupunguza homoni zinazozalishwa kupita kiasi.

-Kurekebisha insulin resistance – PCOS mara nyingi huambatana na kisukari cha aina 2, hivyo bidhaa hizi hupunguza sukari damu.

-Kupunguza maumivu ya tumbo na uvimbe wa nyonga – kutokana na athari ya kuondoa uvimbe.

-Kuboresha afya ya ngozi na nywele – hupunguza chunusi, mafuta mengi usoni, na nywele zisizohitajika (hirsutism).

✅ Ushauri: Ili kupata matokeo ya haraka na ya kudumu, zingatia lishe bora yenye mboga, matunda, nafaka zisizokobolewa na protini safi, ukiepuka vyakula vya kukaanga, sukari nyingi na maziwa yenye mafuta.

Kwa mwanamke mwenye changamoto ya PCOS, tunashauri kutumia kwa pamoja:

-Complete Phytoenergizer (CPE Natura-Ceutical)
-Choleduz Omega Supreme

Kwa sababu PCOS inahusiana na homoni, mayai kushindwa kupevuka, hedhi zisizoeleweka na uvimbe wa cysts kwenye ovari, dozi hii husaidia kurekebisha mfumo mzima wa uzazi na homoni.

Bei za Dozi

-Siku 15: Tsh 123,500/=
-Mwezi 1: Tsh 265,000/=
-Miezi 3: Tsh 795,000/=

👉 Inashauriwa kutumia kwa miezi 3 mfululizo ili kupata matokeo ya kudumu.
TSh 123,500.00

TSh 180,000.00