image

Njombe T-shirts printing

Mm printing Tanzania tunauza na kuprint Njombe Finest T-shirts kwa Bei poa. Pia mikosni tunatuma kwa uaminifu. Pia tunafanya designing za mabango ya BIASHARA, Gari, nk.

Karibu Sana mteja wetu wa thamani.