Je, unahitaji bima ya afya kwa ajili yako, wazazi wako, mwenzi wako (mume au mke), watoto au hata kwa ajili ya watoto mayatima/ ndugu/jamaa ?
Kupitia NHIF, unaweza kupata huduma bora za matibabu kwa gharama nafuu na uhakika wa afya bora.
π Wasiliana watumishi wafuatao kutoka NHIF kwa maelezo zaidi:
1. Bi. Jamila Ally : 0716730190
2. Bi. Devotha Meena : 0717647067
3. Mohamed Jabu : 0774405336
4. Dr.Edwin Chitage 0717233551
Usisubiri hadi matatizo ya kiafya yatokee β linda afya yako na za wapendwa wako mapema kabla ya kuugua!