Ngotamac
NGOTAMAC ni dawa ya mitishamba iliyothibitishwa kutibu vidonda vya tumbo sugu kwa ufanisi, kuhakikisha kupona kabisa ndani ya siku nane na kukuza afya ya tumbo kwa ujumla. Imesajiliwa rasmi na kuthibitishwa nchini Tanzania na Wizara ya Afya chini ya Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, ikiwa na nambari ya cheti TZ 17TM 00130.