Video ADs generating
Popular

Video ADs generating

Maelezo ya Huduma:
Tunakuwezesha kutengeneza matangazo yenye mvuto mkubwa ya picha na video kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya AI kupitia majukwaa mbalimbali kama:

1. VEO 3 – Kwa video za ubora wa hali ya juu zenye uhalisia wa ajabu (hyper-realistic), storyboard za kina, na uhariri wa kisanii.
2. Hailuo AI – Kwa video za ubunifu na uharaka wa kuzalisha content fupi zenye mvuto wa kisasa.
3. Midjourney – Kwa picha kali za kibiashara, zinazovutia na zinazoweza kuendana na maudhui ya tangazo lako.
4. Canva Pro – Kwa mabango, posters na video fupi zenye template za kisasa na maandishi ya kuvutia.
5. CapCut & YouCut – Kwa uhariri wa video zenye sauti, maneno yanayochanua, vionjo vya kisasa na athari za kipekee.

Ofa Maalum:
- Utaweza kupata tangazo la picha + video fupi ya sekunde 15–30
- Unaweza kuomba kuwekewa sauti ya kibiashara ya kitaalamu
- Uhariri na maandishi (animated texts) yaliyobuniwa kitaalamu
- Rangi na mtindo wa tangazo linaloendana na chapa yako

Huduma hii inafaa kwa:
✔ Wamiliki wa biashara ndogo na kubwa
✔ Wenye brands za mitandaoni
✔ Wanaotaka kufikia wateja wengi kupitia matangazo ya kuvutia
Tuwasiliane leo upate ofa hii ya kisasa ya kutangaza bidhaa zako kwa njia ya kipekee na kisasa kabisa!
TSh 35,000.00

TSh 50,000.00