CONTACT US
image
๐ŸŒธ Momo Beauty ๐ŸŒธ
Welcome to Momo Beauty, where elegance meets nature's finest treasures. Our brand is a celebration of self-love and confidence, empowering you to embrace your unique beauty with products crafted to nourish and illuminate your skin.

Black Friday Offer

20% OFF PURCHASES OVER 30000/=

๐Œ๐Ž๐Œ๐Ž๐›๐ž๐š๐ฎ๐ญ๐ฒ ๐Ž๐ซ๐ ๐š๐ง๐ข๐œ ๐’๐ค๐ข๐ง๐œ๐š๐ซ๐ž ๐Ž๐ข๐ฅ

Unakabiliwa na alama za kunyoosha? Wasiwasi wa ngozi yako sasa ni historia! ๐Ÿ˜ Mafuta yetu ya asili yana viambato vyenye nguvu vinavyosaidia kupunguza na kuzuia alama hizo. ๐…๐š๐ข๐๐š ๐ณ๐š ๐•๐ข๐š๐ฆ๐›๐š๐ญ๐จ ๐Œ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ: โ€ข๐Œ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐š๐ฅ๐ž๐ง๐๐ฎ๐ฅ๐š: Husaidia kuponya vidonda na kupunguza uvimbe. โ€ข๐‹๐š๐ฏ๐ž๐ง๐๐ž๐ซ ๐Ž๐ข๐ฅ: Inaboresha unyevu na husaidia kuondoa msongo (ukifanyia massage ๐Ÿ’†๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿ’†๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ) โ€ข๐‘๐จ๐ฌ๐ž๐ฆ๐š๐ซ๐ฒ ๐Ž๐ข๐ฅ: Inaongeza mzunguko wa damu, ikifanya ngozi iwe na afya. โ€ข๐‚๐ก๐š๐ฆ๐จ๐ฆ๐ข๐ฅ๐ž ๐Ž๐ข๐ฅ: Inatuliza ngozi na inasaidia katika kuondoa alama. Kama michirizi,weusi n.k โ€ข๐•๐ข๐ญ๐š๐ฆ๐ข๐ง ๐€ ๐ง๐š ๐„: Zinaongeza unyevu na kulinda ngozi. Dealing with stretch marks? Worry no moreโ€”your skin concerns are now a thing of the past! ๐Ÿ˜ Our natural oil is packed with powerful ingredients that help reduce and prevent those marks. Key Ingredient Benefits: โ€ข Calendula Oil: Helps heal wounds and reduce inflammation. โ€ข Lavender Oil: Enhances moisture and relieves stress (perfect for a massage ๐Ÿ’†๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿ’†๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ). โ€ข Rosemary Oil: Boosts blood circulation, giving your skin a healthy glow. โ€ข Chamomile Oil: Soothes the skin and helps fade marks like stretch lines or dark spots. โ€ข Vitamin A & E: Hydrate and protect the skin. โœจ

TShย 35,000.00

๐Œ๐Ž๐Œ๐Ž๐›๐ž๐š๐ฎ๐ญ๐ฒ ๐Ž๐ซ๐ ๐š๐ง๐ข๐œ ๐’๐ค๐ข๐ง๐œ๐š๐ซ๐ž ๐Ž๐ข๐ฅ

MOMOBEAUTY FACIAL COMBO

kila bidhaa katika seti hii yenye kuvutia ni ufunguo wa kufichua uangavu halisi wa ngozi yako ya uso. Iwe ni kusafisha uso na kuondoa ngozi iliyokufa, kutoa chunusi na mapele, kuweka sawa ngozi iliyo haribika na cream kali au kuungua na mionzi ya jua. kungโ€™arisha ngozi ya uso kwa njia ya asili na hata kupunguza kasi ya muonekano wa uzee yaani kuondoa mikunjo na mistari ya uzee usoni, #hatuchubui combo hii inatosha kabisa kukuweka sawa. UTAJIPATIA Facial Cleanser Brightening Vitamin C Serum Face Moisturizer Face Masks Exfoliating Charcoal Scrub Coffee Scrub Each product in this captivating set is the key to unveiling your skin's true radiance. Whether it's cleansing your face and removing dead skin, treating acne and blemishes, restoring damaged skin from harsh creams or sun exposure, or naturally brightening your complexion while slowing the signs of aging by reducing wrinkles and fine lines, this #gentle combo is more than enough to get you on the right track. Facial Cleanser: - Brightening Vitamin C Serum: Face Moisturizer: Face Masks: Exfoliating Charcoal Scrub: Coffee Scrub:

TShย 175,000.00

TShย 175,000.00

MOMOBEAUTY FACIAL COMBO

VITAMIN C SERUM & FACE MOISTURIZER

FAIDA ZA KUTUMIA PRODUCT HIZI USONI ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ ๐Ÿ’ Kubalance mafuta usoni (kwa wenye oil skin) ๐Ÿ’ Kusaidia ngozi yako kurudi vizur (kwa walioungua na cream) ๐Ÿ’ Kama umeungua na jua usoni hizi product zinasaidia ๐Ÿ’ Inakupatia glow moja amazing โœจ๐Ÿคฉ ๐Ÿ’ Unakuwa mwenye ngozi safi na ya kuvutia everyday ๐Ÿ’ Hizi product zinaipa afya ngozi yako ya usoni ๐Ÿ’ Product hizi anatumia mtu yoyote (kike/kiume) ๐Ÿ’ HAZICHUBUI AT ALL โ™ฅ๏ธ BENEFITS OF USING THESE PRODUCTS ON YOUR FACE: ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ ๐Ÿ’ Balances facial oils (great for oily skin) ๐Ÿ’ Helps your skin recover (for those who have damaged it with harsh creams) ๐Ÿ’ If youโ€™ve been sunburned, these products will assist in healing ๐Ÿ’ Gives you an amazing, uniform glow โœจ๐Ÿคฉ ๐Ÿ’ Ensures you have clean and attractive skin every day ๐Ÿ’ These products enhance the health of your facial skin ๐Ÿ’ Suitable for anyone to use (male/female) ๐Ÿ’ DO NOT IRRITATE AT ALL โ™ฅ๏ธ

TShย 65,000.00

VITAMIN C SERUM & FACE MOISTURIZER