Karibu ujipatie nakala yako ya Kitabu bora cha ufugaji samaki, chenye maarifa ya kutosha yanayoweza kumsaidia mdau yeyote kujifunza mambo ya ufugaji samaki, hususani, samaki sato na kambale. Kama vile
1. Faida na fursa za Ufugaji Samaki
2. Mambo ya kufanya Kabla ya kufugia Samaki
3. Ujenzi wa mabwawa ya samaki
4. Namna ya kulisha samaki, n,k
5, magonjwa na changamoto za Ufugaji samaki
6. Formula na muongozo wa utengenezaji wa Chakula cha samaki.