Msingi Imara
Msingi Imara

Msingi Imara

TSh 10,000.00

TSh 11,500.00

Mahusiano bila msongo inawezekana, kitabu kimeandikwa na Pastor Samwel Kamigwa.
Tafiti za jamii mbalimbali duniani zimethibitisha kuwa sababu kuu mbili zinazopelekea watu wengi kujiua ni uhusiano wa kimapenzi na changamoto za kiuchumi, sasa ili kuwa na uhusiano usio na msongo wa mawazo, mahusiano yenye Furaha, hiki ni kitabu cha kusoma