π Lace Peplum Maxi Dress
Ongeza elegance kwenye muonekano wako kwa gauni hili refu la lace lenye design ya kifahari na ya kisasa. β¨
πΈ Lace yenye floral details
β¨ Peplum waist kwa muonekano wa kuvutia
π Peter Pan collar yenye mapambo
π· 3D flower details kiunoni
π Pleated maxi skirt inayotiririka kwa uzuri
π€ Linning ya ndani kwa coverage nzuri
π¨ Rangi: Brown/Chocolate β’ Nude/Cream/Gold β’ Dusty Pink
π Sizes: 38 β 46
π° Bei: TSh 75,000/=
π Inafaa kwa Harusi, Send-off, Kitchen Party, Idd, Pasaka na dinner events.
π Delivery inapatikana.
π² Weka oda yako sasa!
SKU: WOF-01