UNLIMITED BANDO NA BEI ZAKE
1. 70,000/= kwa mwezi, speed ya internet 10Mbps (ila kifaa utanunua kwa 200,000/= ) hivyo jumla ni 270K
2. 110,000/= speed 30Mbps (UNAPATA ROUTER BURE)
3. 150,000/= speed 50Mbps (UNAPATA ROUTER BURE)
4. 200,000/= speed 100Mbps (UNAPATA ROUTER BURE)
SIFA ZAKE
1. Speed yake ni 10Mbps, 30Mbps, 50Mbps na 100Mbps
2. Inaunganisha vifaa 32
3. Ina powerbank (5000mAh)
4. Delivery
5. Ina umbo dogo na zuri
6. Inahamishika (MOVABLE)