MWONGOZO WA MAPAMBAZUKO YA MACHWEO

MWONGOZO WA MAPAMBAZUKO YA MACHWEO

Mwongozo huu utamsaidia Mwalimu na mwanafunzi kuchambua hadithi ya Mapambazuko ya Machweo.

Mapambazuko ni majira ya alfajiri, kabla ya jua kuchomoza haki Machweo ni wakati wa jioni, jua linapotua, Ukinzani katika mada unazua taharuki kwa msomaji, ambayo inamtuma kupitia hadithi za diwani hiyo ili kufahamu vipi Mapambazuko yanatukia wakati wa Machweo . Vipengele vifuatavyo vimeangaziwa. Maudhui, Wahusika, mbinu za lugha
Ksh 250.00

(estimated)

Ksh 650.00