MWONGOZO WA NGUU ZA JADI

MWONGOZO WA NGUU ZA JADI

Karibu katika "Mwongozo wa Nguu Za Jadi kwa Wanafunzi wa KCSE." Kitabu hiki kimeandikwa kwa lengo la kuwapa wanafunzi ufahamu wa kina kuhusu Nguu Za Jadi na jinsi zinavyohusiana na utamaduni, historia, na utambulisho wa jamii. Pia, kitabu hiki kinakusudia kuwapa wanafunzi ufahamu wa umuhimu wa kuhifadhi na kuendeleza Nguu Za Jadi katika jamii yetu. Yaliomo kwa kitabu hiki ni maswali na majibu, msuko na tathmini ya faslu, msuko, maudhui, sifa na fani za lugha
Ksh 250.00

(estimated)

Ksh 650.00