image

iPhone Batteries

TSh 35,000.00

-

TSh 100,000.00

Battery ya simu yako inakupa shida? Simu yako haikai na charge?

Kwanini unateseka wakati wa taasisi tupo kwa ajili yako,
Jipatie batteries zilizothibitishwa na zenye viwango madhubuti kabisa. Uhakika 100%.

TESTED AND TRUSTED.